Nimepata nafasi ya kuzungumza kwa muda mrefu na mojawapo ya vipindi maarufu nchini Tanzania kile cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds FM. Nilizungumza na Bw. Gerald Hando. Hii ni sehemu ya mahojiano hayo. Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Mahojiano na Chama cha Msalaba Mwekundu na Mpango wa kusaidia wahanga wa Mafuriko!Unaweza kupata mpango tulio nao hadi hivi sasa wa kushiriki katika kuchangia wahanga wa mafuriko yanayoendelea nchini kupitia Chama cha Msalaba Mwekundu. Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kirefu na Mkuu wa Kitengo cha Maafa wa chama hicho nchini Bw. Joseph Kimaryo ambaye anatueleza hali ilivyo hadi hivi sasa (Jumamosi Januari 9, 2010).
Kwa kushirikiana na tovuti za Jamiiforums na Mdau wa Jamii Bw. Issa Michuzi; pamoja na kushirikiana na Mtandao wa Wanaataluma wa Tanzania (TPN) tumeandaa m ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Ziara ya Dowans HQ in Costa Rica na Meremeta Hi everyone; I'm back, wounded and limping but still kicking LOL. With some of my "little ones" we were able to travel extensively through Europe, US and Costa Rica as well as making some contacts in Singapore, U.A.E (this was published in one of previous Cheche editions. What we have discovered is nothing less than shocking!
I visited the so called Headquarters of Dowans S.A in Costa Rica and had access to relevant organs that deal with businesses there. Some of the things we were abl ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Kule tulikotoka, ndiko kule kwa Chinova?Unaweza kusikiliza kwa kudownload kutoka hapa au kusikiliza moja kwa moja kwa kubonyeza "play" chini hapa.
http://www.box.net/shared/qfp38sfr3n
Ukisikiliza usiniulize, na wala usimwambie mtu mwingine. For your Ears Alone!
M.M.Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Nani ashinde, nani ataamua mshindi?Ni mgongano wa kihistoria ambao ulipaswa kutokea. Ni mgongano ambao hutokea mahali popote panapokuwa na tofauti kubwa kati ya watawala na watawaliwa. Ndivyo ilivyokuwa kwenye Mapinduzi ya Ufaransa, Mapinduzi ya Marekani na Mapinduzi ya Bolshevik (Urusi).
Ni yale yale yaliyotokea na kusababisha mapinduzi ya Cuba yaliyomuingiza Castro madarakani. Ndiyo! Ni yale yale yaliyotokea pia kwenye mapinduzi ya Zanzibar!
Migongano ya namna hiyo asili yake mara zote ni pale wananchi wanapotambua kuwa ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Uongozi na Maendeleo: - Sauti kutoka AheraNingeweza kukuambia kilichomo lakini sitakutendea haki; itabidi usikilize mwenyewe. Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Mahojiano na Mhe. Lucas Selelii (Nzega) - "Mmekula hamshibi?"Salaam,
Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kirefu na Mhe. Lucas Selelii Mbunge wa Nzega, miongoni mwa wabunge wenye msimamo wa kimabadiliko na miongoni mwa vinara wa vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM na katika Taifa.
Tafadhali hakikisha unasoma sehemu ya ahadi yetu kwani tuna ujumbe muhimu kwa wasomaji wetu na wanachama wetu. Ungana nasi pia kwenye mijadala motomoto kwenye forum yetu ya http://www.mwanakijiji.com ambapo mojawapo ya mijadala ya kina ni suala la Rais wa zamani Mzee Ally Ha ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Kwanini Masha bado Waziri? Natamani ningeweza kusema kwa nguvu ninachosema kisema hapa. Natamani ningekuwa na sauti kubwa zaidi kuweza kusikika kuhusu mauaji ya Leticia Bahati siku tatu zilizopita. Ninachojiuliza ni kwanini Masha bado ni Waziri wa Mambo ya Ndani? Lakini kuna maswali makubwa zaidi ya hilo ambayo ninayauliza leo kwenye "Nguvu ya Hoja"! Sikiliza. Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Pinda aangusha kilio, akwepa kujibu swali! Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda ametumia nafasi yake ya kujibu maswali Bungeni kugusa hisia za wabunge kwa kuonesha uchungu uliomgusa kufuatia mauaji ya maalbino ambayo yamekuwa yakiendelea nchini.
WM Pinda alimwaga machozi hayo baada ya kuulizwa kuhusu kufafanua kauli yake iliyotaka watu watakaoshukiwa au kutuhumiwa mauaji ya albino na wao kuuawa hapo hapo. Alipoulizwa kwanini ahalalishe mauaji hayo na kwanini atoe kauli zinazonesha kukikanzina na utawala wa sheria na Katiba ambao ni msin ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Exclusive: Dr. Slaa azungumzia yaliyojiri Mbeya VijijiniMwishoni mwa mwaka jana nilipata nafasi ya kuzungumza na Bongoradio.com kuhusu masuala mbalimbali ya kufunga mwaka. Ninawaletea sehemu kidogo ya mahojiano hayo pamoja na mahojiano niliyoyafanya na Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu-Chadema) kuhusu kilichosababisha mgombea wao msomi mwanasheria Bw. Sambwee Shitambala kushindwa kufuata taratibu rahisi za kuapa kabla ya kushirki uchaguzi huo mdogo. Baada ya kusikiliza mahojiano hayo piga kura na upande wa kulia wa tovuti hii na utoe maoni yako ni ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Mwaka 2008: Mwaka watawala walipopigishwa magoti!Mwaka wa 2008 ndiyo huo umefikia ukingoni. Na pamoja nao ni matamu na machungu yote, furaha na huzuni, kicheko na kilio! Ni mwaka ambao umeweka historia nyingi katika nchi yetu na nje ya nchi! Hata hivyo ya nchi nyingine tutawaachia wengine, lakini kwetu sisi wenyewe tunaweza kusema pasipo shaka yoyote ile kuwa mwaka huu ulioisha ni mwaka ambapo watawala walipigishwa magoti na watawaliwa!
Jinsi gani unaweza kuuliza; sikiliza tafakari yangu ya kufunga mwaka 2008.
Nakutakia wewe na vyote ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Serikali yaipiga mkwara Mwanahalisi, Kubenea ajibu hoja!Kwenye ukurasa wa mbele kuna habari iliyozua kasheshe Tanzania. Habari hii ilitoka kwenye gazeti la Mwanahalisi la Jumatano la kupokelewa kwake kumekuwa na hisia za aina yake kwani siku ya pili yake Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo iliandika barua kwa Mwanahalisi kutaka maelezo juu ya habari hiyo ambayo kwa maoni ya serikali inaonekana ni kiuchochezi na kiuchonganishi. Watu wa serikali wanaona kuwa habari hiyo ilikuwa na lengo la kumchonganisha Rais na viongozi wenzake wa CCM hasa Mhe ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Taarifa ya Maendeleo ya msiba wa Ndali NzaroKwa heshima kubwa na Taadhima wana Familia ya Nzaro waliopo Detroit Michigan wakiongozwa na Da Mboja Nzaro na Mwamvita Nzaro pamoja na rafiki wa kike wa Marehemu Saada Ali, wanapenda kutoa shukrani za dhati kabisa kwa niaba ya familia nzima ya Nzaro iliyoko nyumbani Tanzania pamoja na jamaa na ndugu wote kwa mwitikio mkubwa kutoka sehemu mbalimbali wa rambirambi, maneno ya faraja na misaada ya hali na mali iliyotolewa mpaka sasa.
Tunashukuru vyombo mbalimbali vya habari na hasa mitandao mb ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Cheche mitaani Septemba 2Toleo jipya la "Cheche za Fikra" liko mitaani. Jipatie nakala yako kupitia http://www.klhnews.com Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Mahojiano na Nape Nnauye kuhusu kusimamishwa UanachamaNape Nnauye ni mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Nafasi hiyo inagombewa na vijana wengine 27. Miezi michache iliyopoita Bw. Nnauye alianzisha mjadala mkubwa pale alipodai hadharani kuwa taratibu za kuingia mkataba wa Jengo la Umoja wa vijana zilikiukwa na mkataba wenye haukuwa na faida kwa umoja wa vijana. Akasema hadharani kuwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Bw. Edward Lowassa pamoja na Uongozi wa Umoja huo akiwemo Mwenyekiti wa sasa Bw. Nchi ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Juu ya vifo vya Watoto 20 Tabora, siku ya Idi Mosi. Bila ya shaka utakuwa umeshasikia na kugushwa na habari za vifo vya watoto wapatao ishirini waliokuwa siku ya Idi huko Tabora kwenye ukumbi wa Muziki kutokana na kukosa hewa na kukanyagana wakitafuta kutoka ukumbini humo. Hii ni sehemu ya kwanza ya maoni yangu, sehemu ya pili itakuwa kwenye gazeti siku ya Jumapili. Ni lazima tukasirike.Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Alichozungumza Mhe Zitto Detroit! Karibu wiki moja iliyopita Mhe. Zitto Kabwe alizungumza na jumuiya ya Watanzania waishio Jimbo la Michigan nchini Marekani. Mazungumzo hayo yaliyofanyika wakati wa hafla ya chakula cha jioni aliyoandaliwa Bw. Zitto yaligusia mambo mbalimbali na hasa kuwataarifu wanajumuiya hiyo mambo mbalimbali yanayoendelea nyumbani na pia kusikiliza maoni na maswali yao.
Matangazo ya leo basi ni hotuba ya Mhe. Zitto kwa jumuiya hiyo na sehemu ya maswali na majibu, yote ni uncut and an edited. Makosa meng ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Chenge - mbona anatuchengua!?Chenge ni bilionea wa kutupwa ambaye kwake shilingi Bilioni moja anayodaiwa kuificha huko Marekani ni sawa na "vijisenti" vichache. Hivi tatizo letu liko wapi? Je yawezekena kuwa chenge ni dalili tu ya tatizo? Je eye ni kiongozi pekee wa TAnzania ambaye amewekeza mabilioni ya shilingi kwenye akaunti za kigeni? Je ajiuzulu au na yeye anaweza akalia kuwa amefanywa "Bangusilo" wa rada!? Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
KLH Exclusive: "Mafuriko Kyela - 40,000 hatarini!" - Dr. Harrison MwakyembePichani baadhi ya wananchi wakijaribu kuvuka mto. Kidaraja hicho sasa hakipitiki tena. Picha kwa hisani ya Mjengwa
Mvua za masika zimezidi kupamba moto nchini na zimekuwa zikisababisha mafuriko sehemu mbalimbali. Baadhi ya maeneo ambayo yamepata mafuriko ni pamoja na Vunjo, Same na Kyela. Hata hivyo hadi hivi sasa ni wilaya ya Kyela ambayo ina kata 15 ambazo kati ya hizo 11 zimepatwa na mafuriko makubwa .
Siku ya Jumamosi nimepata nafasi ya kuzungumza na Mbunge wa Jimbo la Kyela Dr. Harr ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website
Bila CCM Madhubuti? - Mwalimu alisema kweli...Mwanzoni sikuyaelewa maneno ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere kuwa “Bila CCM Madhubuti nchi yetu itayumba”. Nilifirikia kuwa alimaanisha “Bila CCM” nchi yetu itayumba, na pia nilidhania alimaanisha kuwa “Bila viongozi wa CCM” nchi yetu itayumba. Miaka hii ilivyopita na hasa baada ya matukio yaliyolikumba Taifa letu ndio maana hasa ya maneno yake imeanza kuniingia na kwa hakika nimekubali kuwa bila Chama cha Mapinduzi ambacho ni “madhubuti” basi Taifa letu liko matatani, na kwa hakika lita ... Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website